Top Stories

“Tutapata Miili mingi zaidi tukipindua Kivuko, tutawapima DNA” Waziri Mkuu

on

Leo September 24, 2018 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa miili itakayoendedelea kuopolewa kwa sasa itachukuliwa kipimo cha DNA vinasaba kwa ajili ndugu kutambua endapo ni mwili wa ndugu yao.

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi SUMATRA

Soma na hizi

Tupia Comments