Burudani

Vunja mbavu na DR wa Viatu anaezunguka, Nikikusalimu kiatu kibovu, akiingilia shoo ‘namgonga’

on

Leo September 17, 2018 Zuch Zuchero kama kawaida ametuletea kisanga kutoka mtaani ambapo amekutana na Shoe Shine pekee anaezunguka katika maeneo mbalimbali ya Jiji la DSM akishona viatu na ku-brush katika Bar, Ofisi, Vituo vya mabasi na maeneo mengine.

ZUCHZUCHERO: Kama kucheka ni afya basi pata hapa (Yusufuuuu au Skriipapapaa)

LIVE MAGAZETI: Mapambano, Bastola, panga vyanaswa kituoni, Nini kinafuata kwa Lowassa

Soma na hizi

Tupia Comments