Waziri TAMISEMI Seleman Jafo akiongea na Waandishi wa habari leo “Zoezi hili la uandikishaji hakuna Mkoa ulioandikisha chini ya asilimia 50, na wala hakuna Mkoa ulioandikisha chini ya asilimia 60, kwa hiyo Mikoa yetu imefanya vizuri na Mkoa uliofanya vizuri ni DSM umeandikisha asilimia 108”.