Top Stories

“Dreamliner ni salama kwenda Nje”

on

Leo August 30, 2018 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Hamza Johari amesema hakuna matatizo yoyote ya kiusalama yanayozuia Air Tanzania kushindwa kusafiri kwenda nje ya nchi.

Hamza “Tanzania imefanyiwa uchunguzi mkubwa sana wa kiusalama, hakuna kinachozuia Air Tanzania kusafiri Nje ya Nchi na wataanza safari muda wowote wakiwa tayari”

Waziri Ummy atoa tamko Mwanafunzi kuchapwa “Ninalaani vikali na nmetuma Mtaalamu”

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments