Leo May 28, 2018 Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC) kimemtangaza Anna Henga kuwa Mkurugenzi mpya wa Kituo hicho akimrithi Mkurugenzi wake wa muda mrefu, Dr. Hellen Kijo-Bisimba.
Mchakato wa uteuzi wa Henga umeanza tangu mwaka 2017 na ataanza kuitumikia nafasi hiyo July 1, 2018.