Premier Bet
TMDA Ad

Burudani

UZINDUZI WA FIESTA: Wanaanzia mkoa huu, kitu ni ‘Vibe kama loteee’

on

Leo September 18, 2018 CLOUDS MEDIA GROUP wakishirikiana na Kampuni ya Mawasiliano ya Simu Tigo leo wamezindua rasmi Tamasha la TIGOFIESTA na wametaja Mkoa ambao wataanzia mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari Gadner G. Habash ambaye ni Katibu Mkuu Mtendaji wa Tamasha la Fiesta kwa mwaka huu lenye kauli mbiu Vibe Kama Loteeee.

FIESTA MWISHO SAA 6/ WASANII WA NJE, Yametolewa Majibu Hapa

Soma na hizi

Tupia Comments