Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema chama hicho kinataka taifa la watu wenye uwezo wa kiuchumi si kutukuza umasikini kama ndiyo kigezo cha uongozi.
Mbowe ameyasema hayo leo September 25, 2018 wakati akizindua sera za chama hicho kwa mwaka 2018.