Habari za Mastaa

Usitarajie kumuona JB kwenye Movie

By

on

Kwenye Exclusive interview na Ayo Tv muigizaji mkongwe kwenye game ya Bongo Movie JB amefunguka mengi ikiwa kuhusiana na ukimya wake kwenye filamu na malengo yake ya kuhamia katika tamthiliya na kuachana na filamu baada ya kuachia filamu yake ya mwisho.

Bonyeza PLAY kumsikiliza alichoongea JB leo September 25,2018 kwenye uzinduzi wa pili wa tuzo za Sinema Zetu International Film Festival (SZIFF) 2019.

Tido Mhando na DC Jokate Mwegelo wamezindua tuzo za SZIFF 2019 leo

Soma na hizi

Tupia Comments