Leo September 18, 2018 Ninayo good news kwa watumiaji wazuri wa lugha ya kiswahili ambapo Waziri wa Elimu nchini Afrika Kusini, Angie Motshekga ametanganza kuwa lugha ya Kiswahili imeidhinishwa kama lugha ya pili itakayofundishwa mashuleni kuanzia mwaka 2020.
Waziri Motshkega amesema “Lugha hiyo imeidhinishwa na Baraza la Mawaziri wa Elimu(CEM) kutoka kwenye orodha ya lugha 15 zisizo rasmi zilizoorodheshwa kama masomo yasiyo ya lazima“
Kiswahili ni lugha ya tatu kwa ukubwa katika mawasiliano barani Afrika baada ya lugha za Kiingereza na Kiarabu na ina uwezo wa kusambaa kwenye nchini ambazo hazijawahi kuitumia.
Msigwa, Sugu walivyolia rafu “Wamebaka angalau CCM ya nyuma walitumia akili kuiba”