Kwenye baadhi ya familia za Kitanzania Mtoto akionekana kutumia mkono wa kushoto huwa anakatazwa na Wazazi ambao wanaamini mkono wa kulia ndio sahihi kutumika kwenye kuandika na matumizi mengine mbalimbali.
Sasa leo August 13, Duniani inaadhimishwa siku ya watu wanaotumia mkono wa kushoto, karibu nikukutanishe na Watu 10 maarufu duniani ambao wanatumia mkono wa kushoto kuandika na kuufanya kuwa mkono mkuu kama wengine wanavyoufanya wa kulia.
NCHI 10 TAJIRI AFRIKA 2017,BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA