Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ameitaka Serikali kuacha kuwakandamiza wafanyabiashara na kuwajengea hofu kwa kile alichodai kwamba imewekea mazingira ya kuwanyonya ikiwemo kuwalimbikizia kodi zisizo stahiki.
“Kila mahali wafanyabiashara wana hofu, hali ni mbaya biashara zinakufa na maisha yanakuwa magumu. Fanyeni watu kuwa na amani kuwa tajiri sio dhambi… ! acheni mambo ya kusema tajiri ataishi kama shetani kwasababu tajiri akiishi kama shetani maskini ataishi kama mtoto wa shetani.”-Godbless Lema
Duuh! Unaambiwa baridi ya Mbeya ni fursa tosha, “Tumsaidie Rais Magufuli”