Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amewasimamisha kazi Mkuu wa Polisi Wilaya ya Geita (OCD), Mkuu wa Kituo cha Polisi Geita(OCS) na Mkuu wa Upelelezi Wilaya hiyo (OC CID),kwa kosa la Mahabusu kutoroka Mahakamani. Na pia ameelekeza Askari 8 wa kituo hicho wawekwe Selo.
Waziri Lugola amewasimamisha kazi Mkuu wa Polisi Wilaya ya Geita, Mkuu wa Kituo cha Polisi Geita na Mkuu wa Upelelezi Wilaya hiyo, kwa kosa la Mahabusu kutoroka Mahakamani, pia ameelekeza Askari 8 wa kituo hicho wawekwe Selo. #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/2cUiuw72iY
— millardayo (@millardayo) May 24, 2019
RAIS MAGUFULI NA KIKWETE WALIVYOONDOKA KWENDA SOUTH AFRIKA KWA ‘MADIBA’