Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Good News: Tanzania na Korea kutiliana saini ujenzi wa Daraja la Selander kesho

on

Leo July 22, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Mgaufuli na Waziri Mkuu wa Korea Lee-yeon kesho July 23, 2018 watashuhudia utiaji saini wa mkataba wa ujezni wa daraja jipya la Selander DSM.

Hafla ya utiaji saini itafanyika DSM ambapo Serikali kupitia Wakala wa barabara Tanzania (TANROADS) itatiliana saini na mkandarasi aliyeshinda zabuni ya ujenzi wa daraja hilo.

Daraja la Selander litaunganisha eneo la Aga Khan katika Barabara ya Barack Obama na eneo la Coco Beach katika makutano ya Kenyatta na Toure.

Pia President JPM atapokea gawio la kipindi cha mwaka 2017/18  kutoka wakala, Kampuni, Taasisi, na Mashirika ya Umma 47 ambayo serikali inamiliki.

 

LIVE MAGAZETI: Fupa la Kitwanga na Mwigulu balaa, Askofu atikisa kwa utapeli

Soma na hizi

Tupia Comments