Leo April 9, 2018 kumetokea ajali katika barabara ya kutoka Chunya kuelekea Mbeya ambapo basi linalofanya safari zake kwenda Isangawana limegongana Noah ambapo watu sita waliokuwepo kwenye Noah wamefariki hapo hapo.
Imethibitishwa na Kaimu kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Mbeya Mussa Taibu.