Video Mpya

VideoMPYA: Ipokee hii kutoka kwa Timaya

on

Hii ni nyingine ya kuitazama kutoka kwa staa wa muziki kutokea Nigeria Timaya anakuletea video ya wimbo wake mpya wa “Ah Blem Blem” ili kuitazama video hiyo na kuburudika bonyeza PLAY hapa chini 

Ulipitwa na story ya Ally Choki kaondoka Twanga Pepeta? kataja alipo sasa

Soma na hizi

Tupia Comments