Top Stories

TOP 8: MATUKIO MAKUBWA YA KUKUMBUKWA UAPISHWAJI WA MHESHIMIWA JOKATE

on

Jana August 3, 2018 unaweza iita siku ya Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya Jokate Mwegelo kwa sababu stori iliyo-trend kwenye Mitandao ya Kijamii kuanzia asubui mpaka usiku ni Uteuzi wake, kuapishwa mpaka alipokabidhiwa Ofisi.

Leo August 4, 2018 nimekukusanyia Matukio Nane Makubwa ya kukumbukwa kwenye Ukuu wa Wilaya wa Jokate Mwegelo.

MHESHIMIWA JOKATE ALIVYOKABIDHIWA OFISI YA UKUU WA WILAYA KISARAWE

Soma na hizi

Tupia Comments