Leo December 30, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Wasaidizi wake amefanya maombi kumuombea Mama yake Mzazi Bibi.
Suzana Magufuli anapatiwa Matibabu Jijini DSM anasumbuliwa na ugonjwa wa Kiharusi ambapo amekuwa akipatiwa matibabu kwa takribani miezi mitatu sasa.
MAMA MZAZI WA RAIS MAGUFULI ANAUGUA KIHARUSI AFANYIWA MAOMBI