Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

ACT Wazalendo Kigoma ”Maalim Seif ni Ronaldo, Zitto ni Messi nyavu zitachanika” (+video)

on

March 18, 2019 Aliekuwa Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif alitangaza rasmi kuhamia Chama cha ACT Wazalendo baada ya Mahakama kumtambua Prof. Lipumba kama Mwenyekiti wa Chama cha CUF.

AyoTV imepita katika maeneo Mkoani Kigoma kuzungumza na Wananchi wao wamepokeaje suala la Maalim Seif kuhamia katika Chama cha ACT Wazalendo.

SHANGWE LA MAALIM SEIF BAADA YA KUTANGAZA KUHAMIA ACT WAZALENDO

 

Soma na hizi

Tupia Comments