Meya wa Jiji la Arusha Kalist Lazaro amezungumzia kauli ya Rais Magufuli ya kukataza kauli ya baadhi ya watumishi kusema wamepokea maagizo kutoka juu nakushauri Viongozi kutumia sheria huku akikemea kitendo cha Viongozi kupiga picha kwenye madarasa ambayo bado hayajakamilika nakurusha mtandaoni.
RAIS MAGUFULI AMUOMBEA WAZIRI MKUU MSTAAFU ICU “MUNGU MPONYE HARAKA “