Mkuu wa Wilaya ya Karagwe Godfrey Mheruka ameungana na Naibu Waziri wa Kilimo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Karagwe katika zoezi la ugawaji wa Vitambulisho kwa Wafanyabiashara wadogo ndani ya Wilaya.
DC Mheruka ametumia nafasi hiyo kueleza chanagamoto walizonazo na mikakati yao huku akimuita Mkurugenzi kutoa maelezo baada ya kuibuka utata juu ya agizo la Rais.
DEREVA MBISHI AKUTANA NA MOTO WA RTO KIGOMA “JAMBAZI ANAELEKEZA”