Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

“Mnaosema Bangi ina matatizo mtuambie ina matatizo gani?” –Mbunge Musukuma

on

Mbunge wa Geita Joseph Musukuma ameitaka Serikali ieleze kwanini inazuia biashara ya bangi huku ikidai kwamba bangi inamatatizo hivyo ieleze ni matatizo gani ikizingatiwa kuwa zipo baadhi ya nchi zimeruhusu matumizi yake ambapo imewezesha nchi hizo kujipatia kipato kwa kukusanya kodi.

Kauli ya Waziri Lugola baada ya kuambiwa Serikali ina-Support ushoga

Soma na hizi

Tupia Comments