Mbunge wa Kilwa kusini Selemani Bungara maarufu Mbunge Bwege ni miongoni mwa wabunge waliopata nafasi ya kuchangia mapendekezo yake katika mpango wa maendeleo wa taifa unaokusudiwa kutekelezwa na Serikali pamoja na mwongozo wa kuandaa mpango wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2019/20 ambapo alilieleza Bunge kuwa ana ushahidi wa Polisi kudaiwa kuua watu bila hatia.
DC Chunya alivyozama porini kutatua mgogoro wa wakulima na wafugaji