Duniani

Sekunde 90 za kushuhudia Laptop ya kwanza ya Microsoft kwenye muundo wa pekee kabisa… (Pichaz & Video)

on

Kwa sababu kila mtu anahitaji kuwa na kifaa kizuri cha Mawasiliano, nimeona kuna umuhimu pia uipate na hii mpyampya kutoka Kampuni ya Kampuni ya Microsoft, Marekani.

Microsoft ni kampuni ambayo imewekeza sana kwenye Teknolojia, walianza na biashara ya kutengeneza program za Computer, baadae wakaendelea kukuza biashara yao… mwaka 2014 Microsoft waliamua kuinunua pia Kampuni ya Nokia na kuendelea na Biashara ya uzalishaji wa Simu.

New York City - October 6, 2015 The Microsoft Surface Book is displayed at the Microsoft Windows 10 Devices Media event in New York City. Credit: Andrew White for WIRED

Kipya kinachokuja ni hii laptop mpya, imepewa jina la Microsoft Surface Book, hii ni zaidi ya laptop ya kawaida, ina uwezo wa kutumika kama Laptop au unaitenganisha alafu unaendelea kuitumia kama Ipad pia… hii itakuwa ya kwanza kabisa kutengenezwa na Kampuni hiyo ya Microsoft.

New York City - October 6, 2015 Panos Panay introduces the Microsoft Surface Book at the Microsoft Windows 10 Devices Media event in New York City. Credit: Andrew White for WIRED

Unaambiwa kama ikijaa chaji ina uwezo wa kufanya kazi mpaka kwa saa 12, mpango walionao ni kuitambulisha na kuiingiza rasmi sokoni kuanzia October 26 2015 na itauzwa kwa Dola 1,499 ambazo zinagusa kama Milioni 3.2.

New York City - October 6, 2015 The Microsoft Surface Book is displayed at the Microsoft Windows 10 Devices Media event in New York City. Credit: Andrew White for WIRED

Ukiangalia hata sehemu inapojikunjia imekaa tofauti na nyingine nyingi tulizowahi kuziona mtu wangu.

New York City - October 6, 2015 The Microsoft Surface Book is displayed at the Microsoft Windows 10 Devices Media event in New York City. Credit: Andrew White for WIRED

New York City - October 6, 2015 The Microsoft Surface Book is displayed at the Microsoft Windows 10 Devices Media event in New York City. Credit: Andrew White for WIRED

Iko na video yake pia hapa kwenye sekunde 96.

Tupia Comments