Nyumba/ Mijumba

Nakukutanisha na picha 20 za Jiji la Mwanza…haya ni maeneo ya Capri point…

on

Leo nisiku ya pili tangu tumeuanza mwaka 2016 najua kuna watu wangu malengo yao nikuwekeza zaidi mwaka huu, labda ungetamani kupata nyumba kali uimiliki mwenyewe mtu wangu maeneo maarufu ya mji uenjoy na familia yako ulichokitafuta mwaka mzima…eneo ninalotaka kukuonyesha ni kutokea Rock City Mwanza jiji lenye miamba ya mawe Capri point…naambiwa ndio sehemu yenye thamani zaidi Mwanza kupata nyumba au kiwanja, nimekusogezea baadhi ya picha za muonekano wa mijengo Capri point Mwanza….

Image00002

Japo ni mlimani ila kuna barabara za lami kabisa

Image00003

Mjengo wa nguvu juu ya mlima

Image00004

Muonekano wa ziwa Victoria ukiwa Capri point

Image00005

Lazima ukutane na miamba ya mawe yaani

Image00006

Image00007

Mtu wangu kunabarabara za ngazi kabisa

Image00009

Image00010

Image00011

Ubunifu mzuri wa kuvutia kwenye geti la mjengo

Image00012

Barabara ya kwenda town Mwanza

Image00013

Jamaa kaamua kutumia mawe mwanzo mwisho

Image00014

Image00015

Image00016

Image00019

Image00020

Mjengo wa nguvu

Image00021

Image00022

Image00023

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments