Wizara ya Elimu imeiagiza Bodi ya Mikopo kukutana na uongozi wa UDSM (DARUSO) leo Desemba 16 kutatua changamoto zinazokwamisha wanafunzi wa UDSM kupewa mikopo yao.
Agizo hilo limekuja baada ya wanafunzi hao kutoa saa 72 jana kupewa mikopo au wataandamana.
JAMAA KATOA MILIONI 20 UMEME UPELEKWE KIJIJINI KWAKE, RC MWANRI ATOA MAAGIZO