Usiku wa February 17 2017 Mwimbaji Vanessa Mdee aliandika historia mpya katika maisha yake ya muziki, usiku huo ilikuwa ni maalum kwa Vanessa Mdee kumtambulisha msanii wake wa kwanza kutoka katika label yake ya Mdee Music.
Mdee Music jana imemtambulisha Mimi Mars kama msanii mpya na kuitambulisha video yake mpya inaitwa ‘Sugar‘ ambayo itaanza kuoneka wiki ijayo mitandaoni na katika TV stations mbalimbali…. hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye tukio lenyewe na chini mwisho kuna mahojiano na Mimi Mars.
VIDEO: Kutana na Mimi Mars kwenye mahojiano…. bonyeza play hapa chini kufahamu kila alichosema
BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo