January 22 2016 Kamati ya Miss Tanzania ikiwa na baadhi ya viongozi wakiwemo akina Jokate Mwegelo, Juma Pinto na Gladys Shao imeamua maamuzi mengine.
Kilichonifikia ni kwamba Kamati hiyo imeamua kujitoa kwenye kuandaa mashindano hayo kutokana na kupishana kwa baadhi ya mambo kwenye utendaji wa Kamati hiyo.
#MillardAyoUPDATES kuzipata zote stori kubwa za siku kama unatumia #TIGO andika’AYO’ itume kwenda 15510. pic.twitter.com/KqywVY47cR
— millard ayo (@millardayo) January 22, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.