Mkuu wa Wilaya Kibaha ameanzisha kampeni inayoitwa Elimisha Kibaha ikiwa na malengo ya kusaidi kukuza elimu Wilayani kwake, lengo la Kampeni hii ni kwa ajili ya kuchangisha pesa zaidi ya Bilion 1 zitakazosadia kuongeza madarasa ya kusomea wanafunzi ili kuendelea kusapoti jitihada za Rais Magufuli za elimu bila Malipo.