Ishu ya uhakiki wa vyeti imeibuka tena bungeni leo March 23 2018 ambapo Mbunge wa Ziwani, Nassor Suleiman Omar alianza kwa kutaka kujua idadi ya walioathirika na zoezi hilo na baadae Mbunge wa Kawe, Halima Mdee aliomba watumishi walioondolewa kutokana na kuwa na vyeti feki kupewa hata kifuta Jasho. Serikali kupitia kwa Waziri wa Nishati na Madini Angellah Kairuki amelijibu hilo.