Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe akiwa katika ziara yake Mkoani Kagera amepata fursa ya kuelezea simu anazopigiwa kutoka Uingereza na Marekani kuhusu Kivuko cha Mv Nyerere ambacho kilizama Ukerewe Jijini Mwanza.
Waziri Kamwelwe >>> “Kivuko kilizama tukakigeuza na kukivuta nchi kavu mpaka leo napokea simu kutoka Uingereza na Marekani, alinipigia simu Balozi Israel wanauliza tuliwezaje kukivuta na walitaka kutusaidia ila tukawaambia subiri”
TAARIFA: FIESTA 2018 DSM ILIYOKUA IFANYIKE LEO IMEAHIRISHWA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUPATA TAARIFA HII