Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa anaendelea na ziara mkoani Kagera ambapo kupitia kikao alichofanya na wadau wa kahawa, alitoa maagizo kwa Viongozi wa ushirika mkoani humo.
Majaliwa amesema “Na wakati mwingine mnasema Serikali inunue madeni yetu, hiyo biashara kwenye Serikali ya awamu ya tano haipo, kununua madeni ambayo wewe umekopa”
BREAKING: Kichaka chateketeza Hotel ya Star Com kwa moto, Kamanda azungumza