Kwenye mitandao ya kijamii kumezagaa taarifa kuhusu ya kuzuiliwa kwa Malori 15 ya kampuni ya Bakhresa kwasababu ya ushuru. AyoTV imempata msemaji wa Azam Group Husein Suphian atueleze ilikuaje yakazuiliwa na nini kinachoendelea sasa.