Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anaendelea na ziara yake kikazi Mkoani Kagera, baada ya kufika wilayani Kyerwa amesema kuwa anazo taarifa na majina ya Polisi akiwemo Mkuu wa Polisi Wilaya hiyo kuwa wanashiriki kusindikiza kahawa inayopelekwa nje ya nchi kinyume na taratibu ambapo ametoa maagizo kwa OCD huyo mbele ya wananchi.
DIWANI CHADEMA: Kakaa Jela Miezi 10 kafunguka ”Nilionewa”, Bonyeza play hapa chini kutazama