June 9, 2016 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amekutana na balozi wa Japan na kuongelea kuhusu Hospitali zote Dar zikiwemo Amana, TMK, na Mwananyamala ambazo hazina huduma za haraka pamoja na ICU.
Kwa siku hospitali hizo zinapokea wagonjwa 1800- 2000 na 50% ya wagonjwa wanahitaji huduma ya Emergency, na kutokuwa na huduma ya emergency kwa hospital hizo wagonjwa wengi wanakufa, sababu hiyo ndio imempelekea balozi huyo wa Japan Masaharu Yoshida kukutana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ofisini kwake na kufanya mazungumzo ya Kujenga Emergency Unity.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
ULIIKOSA HII YA DIAMOND PLATNUMZ KWENDA KWENYE OFISI YA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM ITAZAME HII VIDEO HAPA
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE