Prof Mukandala leo November 12, 2019 akielezea yaliyomo katika kitabu cha Mstaafu Mkapa amenukuliwa akisema “Kutokana na Familia ya Mkapa kuonekana inajiweza kidogo ilionewa wivu na chuki,Mwaka 1947 kulitokea ukame mkali watu wakamleta mganga wa kienyeji pale Kijijini, wakaamua Mama mzazi wa Mstaafu Mkapa, Mama wa Mama yake na Bibi wa Mama yake wameroga mvua isinyeshe”.
MAGUFULI BILA KUPEPESA MACHO “MAALIM SEIF ANDIKA HISTORIA YAKO WATU WAIJUE”