Vanessa Bryant ambae ni Mke wa Legend wa Basketball Marehemu Kobe Bryant, ameandika kwenye Instagram kwa mara ya kwanza toka kifo cha Mumewe, Mtoto wake na Watu wengine kwenye ajali ya Helikopta Jumapili iliyopita.
“Mimi na Watoto wangu wa kike tunashukuru mamilioni ya Watu walioonesha support na upendo kwenye kipindi hiki kigumu, asanteni kwa maombi hakika tunayahitaji” – Vanessa
“Maneno hayatoshi kuelezea maumivu tuliyonayo sasa hivi, tumeumizwa na kifo cha Kobe na Gigi, walikua baraka sana kwetu wamechukuliwa mapema, tumeumizwa na vifo vya wengine pia waliokua pamoja”
“Kwa heshima ya Familia ya Mamba Family, Mamba Sports Foundation imeandaa mfuko wa kuchangia fedha kuzi-support familia nyingine zilizoathirika na msiba huu, kuchangia tafadhali nenda mambaonthree.org”
PETER MSECHU KAFUNGUKA BAADA YA KUFUNGA NDOA “KIFO NDIO KITATUTENGANISHA”
MAISHA YA KAREN, MTOTO WA GARDNER, ALIVYOISHI NA JAYDEE NA KITU ALIMWAMBIA KUHUSU MUZIKI