Usiku wa June 25, 2019 Watu wanne wa familia moja wameteketea kwa moto wakiwa ndani ya nyumba yao Wilayani ya Ngara Mkoani Kagera.
Leo June 26, 2019 Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera Revocatus Malimi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kuwataja waliopoteza maisha.
MTANZANIA AKATAZWA ASIGAWIE WATU 3000 UMEME ANAOZALISHA, KAULI YA MAGUFULI YAMUIBUA