Premier Bet
TMDA Ad

Video Mpya

VideoMpya: Linex Sunday amepewa shavu na Rotten Blood kwenye ‘Bata Day’

on

Leo September 17, 2018 Nakusogezea video ya Wimbo wa kwao Rotten Blood wakiwa wamemshirikisha Linex Sunday Mjeda wimbo unaitwa ‘Bata Day’. Audio ya wimbo huu kahusika Mr T Touch na Director wa video ni Moe Kaali.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama, usisahau kutoa comment yako ili Rotten Blood wakipita waone umepokeaje wimbo wao.

LIVE MAGAZETI: Mapambano, Bastola, panga vyanaswa kituoni, Nini kinafuata kwa Lowassa

Soma na hizi

Tupia Comments