Leo March 27, 2019 Mkulima wa Nyanya ambaye pia ni mlemavu wa mguu mmoja Lucas Kayuni (52) Mkazi wa Mbeya ambaye anafanya shughuli zake za kilimo pembezoni mwa barabara kuu iyendao Tunduma eneo la Iwambi.
Kayuni amesema anafanya Kilimo kwa sababu hataki kuwa ombaomba kama walemavu wengine ambao hutegemea kupewa fedha na watu yeye anategemea kilimo hicho ndicho kimtunze na familia yake ya watoto watano.
Alipata ajali mwaka 1994 na kuanza kulima mwaka 1997, anaomba asaidiwe kupata shamba kwani sasa anapolima ni amevamia eneo la barabara ambapo wanawea fukuzwa mda wowote.
JAJI LUBUVA AKUMBUSHIA YA UCHAGUZI MKUU 2015 MBEYA NA KUPIGIWA MAKOFI