Oktoba 25 Watanzania itakua ni time yetu ya kuwachagua viongozi mbalimbali kuanzia Madiwani,Wabunge mpaka Rais ambaye atakuwa wa awamu ya 5 bado kuna mengi mazuri tunayasikia kadri siku zinavyoenda kuelekea siku hiyo.
Makomando na M-Rap wao wameamua kuingia studio na kurekodi wimbo unaitwa Tanzania maalum kwa viongozi wanaotaka kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kama kuwakumbusha vitu tunavyovihitaji Watanzania.
Bonyeza play kutazama video hii ya Makomando na M-Rap.
https://www.youtube.com/watch?v=KgHimWBcIjg
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos