Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda akiongea na Waandishi wa habari leo August 20, 2019 amesema “Zawadi aliyopewa Mtu kwenye Mahusiano unaweza kuidai Mahakamani na ukalipwa, kama kuna Mtu alihonga IST, akawa na nia ya kuoa yule Mtu akaingia mitini, ana uwezo wa kuidai IST yake mahakamani na ikarudi, SADC imeisha tutatafuta Vyombo vya Habari na kufanya Live mjadala wa haya mambo ya Mahusiano”.