Michezo

Good News:Tanzania kushiriki mashindano ya Dunia ya Karate(+video)

on

Tunayo stori kuhusu mchezo wa Karate ambapo Tanzania inatarajia kupeleka timu ya kushiriki mashindano ya Olympic na yale yatakayojumuisha nchi 80 yanayotarajiwa kufanyika nchini Japan.

Akizungumza na Ayo Tv na millardayo.com mara baada ya kutoa semina kwa waandishi wa habari, Mwenyekiti wa JKA, Sensei Jerome Mhagama amesema wanajiandaa na mashindani mbalimbali hasa kwenye michezo ya Olympic inayoanyika Japan.

Tumejipanga kuhakikisha tunakuwa na uwakilishi katika mashindano ya Olympic pamoja na mashindano mengine ya dunia ambayo yatajumuisha nchi 80 yatafanyika mwakani, hivyo kazi tuliyonayo ni kuhakikisha kuwa na timu inayokwenda kushiriki,amesema.

Mashabiki wa Simba SC wakiisubiri game ya AS Vita wakajua Yanga kafungwa

Soma na hizi

Tupia Comments