Michezo

MO Dewji “Siwezi na sikubali kufanya kazi na mtu anayehujumu malengo”

on

Kumekuwa na tetesi kuwa Mkurugenzi wa Bodi ya wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji huwenda akangatuka kwenye timu hiyo kutokana na kile kinachoelezwa kutokuwa na maelewano mazuri na baadhi ya viongozi.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, MODewji ameandika kuwa ”Kwenye uongozi, na kwenye maisha, huwa nakaribisha kukosolewa.”

”Kwenye uongozi, na kwenye maisha, huwa nakaribisha kukosolewa. Lakini siwezi na sikubali kufanya kazi na mtu anayehujumu malengo, mipango na maslahi mapana ya taasisi, anayetoboa mtumbwi tunaosafiri nao.” Dewji

TUME YA UCHAGUZI YATANGAZA TAREHE YA UCHAGUZI JIMBO LA LISSU

Soma na hizi

Tupia Comments