Evalin Noah ni mmiliki wa mbuzi wanaopatikana Sanawari Arusha ambao wamekuwa gumzo kwa uwezo wao wa kuvuka barabara kwa kutazama taa za barabarani, unaambiwa mbuzi hao wamekuwa wakitembea hadi Saa 8 usiku, wanakula kila kitu ikiwemo kunywa mafuta.
“Kuna siku mbuzi mmoja alienda kunyakua karoti mama mmoja akamwambia unajua huyu mbuzi mwenyewe kamtuma aje amchukulie karoti ya kupikia mchana na mimi nikapita zangu tu” Bibi Evalin
RC Mwanri kaibuka na mpya “kanyaboya hatusaidii we fyeka, hakuna aluatani kunizidi”