Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso ametembelea Mradi wa Maji Katoke uliojengwa kwa Milioni 476 uliopo Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera na kuambiwa tayari umekamilika kumbe hautoi maji maeneo yote na baadhi ya mabomba yanavuja.
Baada ya kubaini hali hiyo ameagiza Mhandisi wa Wilaya Muleba Boniphace Lukoo kukamatwa na kuhojiwa huku akiiagiza Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya kumtafuta Kandarasi wa Mradi huo ili naye ahojiwe.
MAAJABU! MBUZI WANAOVUKA KWA KUTAZAMA TAA WANAZURURA USIKU WA MANANE