Taasisi ya Tulia Trust kwa kushirikiana na Ubalozi wa Japan imewezesha ujenzi wa bweni la Wanafunzi wa kike katika Shule ya Sekondari Masoko iliyopo Rungwe Mkoani Mbeya ambapo zaidi ya Shilingi Milioni 137 zimetumika katika ujenzi huo huku wanafunzi 48 wakitarajia kuanza kulala katika mabweni hayo.
TUKIO LA UGAIDI KENYA: RAIS MAGUFULI NA KENYATTA WAMEZUNGUMZA