January 28, 2019 AyoTV na millardayo.com imempata Mke wa Richard Luziga mlemavu wa miguu anaefanya kazi ya kulima mpunga na kutwanga kokoto ambapo amesimulia mazingira magumu wanayopitia yeye na Mumewe katika maisha ya kila siku.
BREAKING: LIVE RAIS MAGUFULI ATUMBUA WAKUU WILAYA, ATEUA MAJAJI 21