Kutoka kwa Mwanasheria wa Under the Same Sun Maduhu William anasema kuna majina ambayo ni kosa kisheria kumuita mtu mwenye ulemavu wa ngozi Albinism na hukumu yake inaweza kuwa miaka miwili jela, pia amegusia kauli ya Haji Manara kusema yeye ana ngozi ngumu.
RC MWANRI “NAWAAMBIA WOTE KAA CHONJO, NAONGOZA VICHAA, MATAIRA”