Ni kutoka kwenye basi lililobeba Wasanii wa bongofleva wakiwa safarini kwenye show za FIESTA 2016, tamasha ambalo linafanyika kwenye mikoa mbalimbali Tanzania sasa hivi.
Kwenye basi la Wasanii utajionea maongezi yao mbalimbali wakizungumzia ishu za kimaisha, kuuliza maswali, wakicheka pamoja na kuongelea mengine mengi.
Nimekuwekea video hapa chini Mchomvu alipomuuliza Manfongo kuhusu historia yake na muziki wa singeli haya ndio majibu ya Manfongo.
ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA SHILOLE ALIPOMUULIZA YOUNG KILLER ANATUMIA MKOROGO? UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI