Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akiwa katika utekelezaji wa majukumu yake amepokea taarifa ya kupotea kwa nondo 90 zinazotumika katika Hospitali ya Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora inayojengwa kwa kiasi cha Bilioni 1.5 cha fedha kutoka Serikal kuu.
Mwanri amemuagiza Injinia anayesimamia ujenzi wa Hospitali hiyo “Nondo tisini zimeondoka hapa na wewe ndio umeweka walinzi hapa zisipopatikana nakukata kwenye mshahara wako na ukionyesha tabia ya kuibiwa ibiwa hivi nakuondoa” RC Mwanri
MTANZANIA AKATAZWA ASIGAWIE WATU 3000 UMEME ANAOZALISHA, KAULI YA MAGUFULI YAMUIBUA